Who's online

We have 16 guests online
Showbiz


50 CENT KUACHA BIFU ZAKE NA WASANII PDF Print E-mail
Tuesday, 07 September 2010 10:40

 

50_cent1

Hivi karibuni Rapa 50 cent amebainisha kuwa hataki tena bifu na wasaanii wenzake Jay-Z na P.Diddy.

Mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa ameelekeza nguvu zake kwenye uigizaji filamu alisisitiza kuwa  alishafanya mazungumzo na wasanii hao kwa muda tofauti tofauti na kufikia maamuzi ya kuachana na bifu ambazo zilikuwa kama zinawadidimisha kimuziki. 50 Cent aliyasema hayo pindi alipokuwa akihojiwa na MTV.

‘Tayari nishaongea Puffy siku moja kabla ya kukutana na Jay, amenieleza kila kitu kwa jinsi anavyojisikia mwenye furaha. Ninajua ni namna gani mashabiki wanavyojisikia baada ya kupata taarifa hizi , lakini kwa sasa yote  yamepita.” Ilifafanua sehemu ya maelezo ya 50 Cent.

Mwanzoni mwa mwaka huu 50 Cent alikaririwa kuwa hata jibu bifu zozote zitakazoelekezwa dhidi yake.

50-cent-picture-51

NO MORE FEUDS TO 50 CENT.

50 Cent has revealed that he has ended his feuds with Jay-Z and P Diddy.

The rapper –turned –actor claimed that he spent some time with both hip-hop stars to discuss his past actions towards them.

“We got a chance to kick it for a minute. I know people were interested in what that conversation was like. But they can ask Jay-Z. I can’t understand what your motivation was prior to that, ”he told MTV.

He added” I had a conversation with Puffy the night before Jay. He gave me a whole new perspective on his actions. He’s like, I understand the way you felt because of what I was doing at the time. But I wasn’t thinking what you were thinking I was.”

Earlier this summer, 50 Cent vowed never to respond to a rap feud ever again.

 
UTATA NDANI YA CHILLI GALS. PDF Print E-mail
Friday, 03 September 2010 10:30

 

ciligaz1

Ukizungumzia makundi ya muziki yanayofanya kazi vizuri Afrika Mashariki basi huta acha kuwazungumzia Chilli Gals toka Uganda.Pamoja na kujawa na wasanii wenye vipaji adimu lakini kundi hili linaloundwa na wasanii kama P-Tyra, Kabs, Shyla, Zahara Omar na Toto kundi hili lipo kwenye hali mbaya ya kuvunjika.

Sababu kubwa inayoelezwa kuwa ni chanzo cha mpasuko ndani ya kundi hilo ni Uongozi mbaya unaoendeshwa na meneja wa kundi hilo Judithi ambaye amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara na wanamuziki hao kuwa hana utaratibu mzuri katika kuratibu  shughuli za kundi hilo.

Kutokana na hilo tayari baadhi ya wanamuziki kama Peace Tyra ameshawahi nukuliwa kuwa ana mpango wa kufanya kazi nje ya kundi hilo hali inayoonyesha dalili mbaya ya mawasiliano katika kundi hilo kwani ikumbukwe Tyra ndiyo mwanamuziki kiongozi ndani ya kundi.

Kundi hilo ambalo lilikuwa limeshajijengea jina ndani ya Uganda na Afrika Mashariki kama mbadala wa makundi Obsessions na Blue3 yaliyovunjika kwa sasa.

chilli-tboz-reunion1

CHILL GALS IN DILEMMA.

Recently it has been revealed that the female group artist from Uganda Chill Gal is on the way to fall apart after what it has been known to have internal administration conflicts. The group which is very popular not only in Uganda but also all across East Africa have continuously facing administrative block from their manager Judith who is claimed to rude her artist.

Source from inside the group says, the scene of the group is becoming worse as time goes in such as way that even group leader of the musician Peace Tyra has been heard said she is planning to withdraw from the Group and make her solo music.

The artist who makes the group includes P-Tyra, Kabs, Shyla, Zahara Omar and Toto. The question in many Ugandan music fans is that, could this me the road to the spilt of the group as it was for Obsession and Blue3?

 
DORA AWAFUNDA WALIMBWENDE UGANDA PDF Print E-mail
Tuesday, 31 August 2010 11:15

Miss_Uganda_08_Dora_Mwima-7903821

Aliyekuwa miss Uganda 2008, Dora Mwima amewataka washiriki wa taji hilo  mwaka 2010/11kuepukana  na ushindi wa chee kwa kujirahisisha mbele ya majaji wakwale.

Dora aliyasema hayo hi vi karibuni alipokuwa akiwafunda washiriki zaidi ya kumi na tano kambini kufuatia tabia hizo kuzidi shamiri katika mashindano hayo.
 “Ukitaka kushinda taji, epukana dhidi ya rushwa ya ngono. Tunajaribu kuwaandaa vizuri ili kila mmoja wae na nafasi sawa ya kuibuka mshindi.” Dora alikaririwa akisema.

Hata hivyo Dora ambaye kwa sasa ni msemaji rasmi wa mashindano hayo anakiri kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuondoa tatizo hilo.

miss_Uganda_interview

AVOID BEING BONKED-DORA TELLS MISS UGANDA MODELS.

Former Miss Uganda has warned contestants vying for the most beautiful babe in Uganda for the year 2010-2011 pageant to stay off sex. This was during the recent auditions where more than fifteen models were chosen recently to join a residential camp.

"If you want to win a title, stay off bonking because the training you are to undergo needs a lot of concentration. Men will only act as a distraction." Dora is also the current Miss Uganda spokesperson .

Huh we doubt if her advice will really be taken.

 
 
RED BANTON AAPA KUTOREJEA UGANDA. PDF Print E-mail
Monday, 30 August 2010 09:44
 Red_Banton3

Kama wengi wa Waafrika wanavyoamini kwamba maisha mazuri yapo Ulaya na Amerika, Mwanamuziki Red Banton kutoka Uganda naye amenasa katika tego hilo baada ya hivi karibuni kuapa kuwa hatarajii kurudi Uganda tena.  Hii imetokana na mwanamuziki huyo wa maadhi ya Regae kupata kibali cha kuishi nchini Marekani.

 Habari toka kwa wadau waliopo Marekani zinasema kwamba  mwanamuziki huyo amehangaikia sana visa hiyo mpaka kuipata na hakuweza kulala usiku kucha siku ya safari yake ya kwenda kwa Obama akihofia passport yake isije potea
 

Red_Banton

RED BANTON DENIED TO COME BACK TO UGANDA

We've learnt that the Good life is currently in the USA, where they went to perform. Luckily expired singer Red Banton, who's been grassing at their Makin dye bonking crib managed to escort them on the trip.

However our US Snoops have intimated that Banton thanks his spirits for allowing him to secure a visa to Obama's land and as thus, he has vowed not to come back to our dusty town, where he had grassed for an untold time.

We hear prior to the trip, Banton spent sleepless nights watching over his VISA like an Askari, claiming that it might disappear in the night.

 
Last Updated on Monday, 30 August 2010 10:07
 
SUSAN BOYLE KUMTUMBUIZA POP PDF Print E-mail
Saturday, 28 August 2010 10:51
alg_susan_boyle1

Hatimaye ule usemi wa mvumilivu hula mbivu umetimia kwa Susan Boyle mwimbaji wa Scottland.

Mwimbaji huyo akiwa na miaka 48, mwaka 2009 aliiteka dunia kwa kibao chake “I Dreamed a Dream” akiwa mbichi toka chungu cha kutafuta vipaji kiitwacho “Britain’s Got Talent’.

Sasa akiwa na miaka 49, amepata bahati nyingine adimu kama msanii. Nayo ni kuimba katika ziara za kiongozi wa kidini wa kanisa Roman huyu si mwingine bali ni Papa Benedict’s. Kwa mujibu wa gazeti la Reuters, Boyle aliombwa kutumbuiza katika mikutano ya kiogozi huyo tarehe 16 September, kwa zaidi ya mara tatu tofauti.

Katika interview kwenye kituo kimoja cha Tv, Boyle alisema kuwa amefarijika sana kupata nafasi ambayo katika ndoto zake za kimuziki hakuwahi hata siku moja kama ingeweza kutimia.

Inasemekana katika kongamano hilo Susan ataimba vibao vyake kama vile “I Dreamed a Dream”,”How Great Thou Art,” kama ishara ya kumtakia kheri Papa katika safari yake ya London.

b_susan_boyle1

SUSAN BOYLE TO SING FOR THE POP
Dreams do come true; you just have to wait. This is best proven by Scottish singing sensation Susan Boyle.

At age 48, Boyle captivated the world with her beautiful voice after singing “I Dreamed a Dream” of the musical Les Misérables for audition on talent search program Britain’s Got Talent. She eventually became a star and recorded and released one of the best-selling albums in 2009, I Dreamed a Dream.

Now 49, another dream of hers is about to be realized: to sing for the Pope, and not just once but three times. According to a Reuters report, Boyle was asked to sing during Pope Benedict’s mass in Glasgow, Scotland, on September 16.

In a TV interview, Boyle said she is considering singing for the Pope “a great honor and something I've always dreamed of – it's indescribable.”

It is said that the songs she will sing during the Papal mass will be her signature song “I Dreamed a Dream,” “How Great Thou Art,” and farewell song to the Pope as he leaves for London.
 
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Page 1 of 15