HOT & HAPPENING

saadane_tchaker1

Kocha wa timu ya Algeria Rabah Saâdane ameamua kumwaga manyanga kibarua chake kufauatia matokeo mabaya ya timu yake dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania. Mchezo  huo  wa AFCON -2012 ambao ulichezwa usiku wa kuamkia jumamosi wiki iliyopita  katika uwanja wa Tchaker mjini Blida ulishuhudia Timu ya Algeria ikilazimishwa sare ya bao 1-1 ambapo Stars ndiyo waliokuwa wa kwanza kujipatia bao  dakika ya 32 kupitia kwa Abdi Kassim   kwa njia ya adhabu ndogo baada ya mshambuliaji wa Stars Mrisho Ngasa kufanyiwa madhambi na mabeki wa Algeria. Algeria waliweza sawazisha bao hilo dakika ya 45 baada ya Adlane Guedioura kuachia mkwaju mkali uliomshinda kipa wa Stars  Shaaban Kado.

Hata hivyo chama cha soka cha Algeria (AFA) kupitia kwa Mohamed Raouraou kimemshukuru  Rabah Saâdane kwa mchango wake aliojitolea katika kipindi cha miaka mitatu aliyokuwapo kwenye timu hiyo ikiwa ni pamoja na kuweza kuifanikisha timu kushiriki kombe la Dunia Afrika kusini.

Abdi_Kassim__celebratng
ALGERIA NATIONAL COACH RABAH SAADANE RESIGN

Algiers – National Coach Rabah Saâdane resigned from his office, less than 24 hours after the team’s disappointing performance Friday against Tanzania (1-1) at Tchaker Stadium in Blida, as part of the 1st day of African Nations Cup- 2012 qualifier, Algerian FA said Saturday. Rabah Saâdane decision has been approved by the Algerian Football Association (FA) Mohamed Raouraoua who was keen to thank the manager and pay him tribute for the excellent work accomplished, the same source added. Saadane took charge three years ago and steered Algeria to their first World Cup in 24 years in South Africa. Under him, Algeria reached semi-finals of the African Cup of Nations in 2010 in Angola.

algerie_tanzanie31

 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!