HOT & HAPPENING

Chelsea

Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Chelsea leo jumamosi wanakutana na timu ya Stoke city katika mfululizo wa  ligi ya Barclays.

Chelsea wenye rekodi nzuri mpaka sasa katika msimamo wa ligi hiyo wanaongoza wakiwa na point sita na magoli kibao baada ya kuzishushia mvua ya magoli sita kila mmjo timu za West Bromwich  na Wigan Athletic.

Wapenzi wengi wa ligi ya Uingereza hasa mashabiki wa Chelsea leo watakuwa na hamu kubwa kuona kama timu yao itaendeleza wimbi la ushindi mkubwa wa mabao  mchezo utakaopigwa katika dimba la Stanford Bridge jijini London.

Mechi zingine zitakazo pigwa leo ni  Blackburn vs Arsenal, Blackpool vs Fulham, Tottenham vs Wigan, Wolvehampton vs Newcastle, wakati Man United dhidi ya West Ham. Kwa maelezo zaidi fuatilia Kabumbu Halisi kupitia nipe5.com.

Chelsea-Fans

WILL CHELSEA CONTINUES TO RELISH ITS RECORD?

The defending champion for English premier league, Chelsea today is going to face Stoke city at its home ground pitch Stanford Bridge stadium. Being at the top  in the Barclays premier ranking chat, Chelsea have already scored  twelve goals in two matches after thrashing West Bromwich and Wigan Athletic with six goals to each.

Many Chelsea’s fans around world are waiting the final wrestle to see how much scores will their club going to obtain in today’s match.

Other fixture for today’s matches include Blackburn vs Arsenal, Blackpool vs Fulham, Tottenham vs Wigan, Wolvehampton vs Newcastle,  and Man United against West Ham.

You can get more information through kabumbu halisi link at nipe5.com.

 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!