HOT & HAPPENING

tz_vodacom_league

Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limekipa haki kituo cha Star Tv  kurusha matangazo ya michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka huu.

Akizungumza jana, ofisa habari wa TFF, Florian Kaijage, alisema kuwa kamati ya utendaji ya TFF iliyokutana juzi ilipitia majina ya makampuni yaliyoomba kurusha matangazo hayo na kuamua kuipa Sahara Media ambayo inamiriki kituo cha Star Tv.

 Vituo vingine vilivyokuwa vikiomba dhamana hiyo kwa TFF ni pamoja na Indepent Television (ITV), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Kampuni hiyo ya Sahara italazimika kulipa kitita cha shilingi milioni 140 ili kupata fursa hiyo.

tz_vodacom_league1

STAR TELEVISION TO BROADCAST TANZANIA LEAGUE.

Tanzania Football Federation (TFF) has given Sahara Media rights to broadcast Tanzania premier league in this Vodacom league season.

The body’s information officer, Florian Kaijage said that there was various local stations that competed for the tender but non meet the standard settled, except the Star Television which come to win the bid.

Star will be required to pay 140 millions so as to be legitimate television to broadcast the show.
 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!