24 August 2010
|
|
|
Akiwa kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya ngumi za ridhaa huko Lugogo, Kampala mnamo December 9, 1974 , Idd Amin aliushangaza umati wa watu waliokuwapo kwenye uzinduzi huo baada ya kuamrisha acheze pambano na Mwenyekiti wa mchezo wa Ngumi bwana Peter Seruwagi.
Katika pambano hilo Amin alimchakaza mpinzani wake kwa knock-out huku akiwa amevaa tai. Seruwaga akiongea na jarida la The East African alikaririwa akisema kuwa alimpa mwanya wa kushinda pambano hilo Amin Kutokana na ukweli kuwa Kiongozi huyo alikuwa anataka kulipiza kisasi kutokana na yeye kumshinda kwenye pambano lao miaka kumi na sita iliyopita walipokuwa chuo. Amin katika ujana wake ameshakuwa bingwa wa uzito wa juu nchini Uganda kuanzia mwaka 1955 mpaka 1959 kabla ya rekodi yake kuchafuliwa na Seruwaga mwaka 1958. |
|
|
|
IDD AMIN BOXER OF THE YEAR. Being a special guest in the opening for sixth All Africa Amateur Boxing Championships in Lugogo, Kampala on December 9, 1974, Idd Amin declared that he would open the championships by boxing with Peter Seruwagi ( The Ugandan national coach by that time) in a curtain raiser. The Amin vs Seruwagi match was not scheduled in the event before but in Amin’s way of conducting affairs, that was no obstacle. Speaking with the East African Magazine Seruwagi said that the fight ended in a knock-out in favour of Amin. It is said that Amin was the undefeated heavyweight champion from 1955 to 1959. But Seruwage floored him in a special fight in 1958. So, Amin was there for revenge. |
















