21 August 2010
![]() |
|
Mcheza kikapu wa timu ya Cleveland Cavaliers msimu uliopita, Delonte West amepewa adhabu ya kutocheza mechi 10 mfululizo za ligi ya kikapu NBA baada ya kukamatwa na vyombo vya usalama akimiriki silaha kinyume cha sheria katika jimbo la Maryland. West ambaye kwa sasa hajasaini na klabu yoyote, atanza kutumikia adhabu hiyo pindi msimu mpya wa ligi ya NBA utakapoanza mwezi wa kumi 2010. |
|
|
|
DELONTE WEST SUSPENDED 10 GAMES BY NBA Delonte West, who played last season for the Cleveland Cavaliers, has been suspended without pay for ten games for pleading guilty to carrying a concealed weapon and wearing, carrying, and transporting a handgun, in violation of the law of the State of Maryland, the NBA announced today. West is currently a free agent. If he signs a contract to play again in the NBA, West's suspension will begin with the first game of the NBA regular season for which he is eligible and physically able to play. |
















