19 August 2010
![]() |
|
Ikiwa ni ishara ya kufungua pazi la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2010/2011, timu ya Yanga jana ilifuta uteja kwa watani zake wa jadi Simba baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 3-1 katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zilifikia hatua ya kupigiana matuta baada ya kuchoshana nguvu katika muda wa kawaida wa mchezo ndani ya dakika tisini. Mghana Isaack Boakye aliwainua mashabiki wa Yanga baada ya penati yake kushindwa kuokolewa na kipa wa Simba Mustafa Ally ‘Bathez’. |
![]() |
|
YANGA WINS COMMUNITY SHIELD TITLE Yanga as they are popularly known, have spent the close-season licking their wounds after being piped to the title by Msimbazi Street giants, but underlined their determination to come out of the shadows as they mastered penalty shootouts against their nemesis after many years. In yesterday match which took place at National stadium In Dar es Salaam, The two teams had failed to find the back of the net in regular time, forcing the game into penalty shootouts to determine the winner. Ghananian Isaack Boakye scored a decisive penalty to spark a huge celebration s among Yanga supporters. |
















