17 August 2010
![]() |
|
Baada ya uvumi wa muda mrefu kuhusu usajiri wa Mesut O’zil , kiungo wa Timu ya Taifa ya Ujerumani na Werder Bremen hatimaye leo jumanne huenda akasaini kujiunga na klabu ya Real Madrid. Katika sakata la usajiri wa kiungo huyu, baadhi ya vilabu vikubwa Ulaya vilionyesha nia ya kumtaka O’zill ikiwamo Manchester United, Chelsea na Arsenal zote za Uingereza baada ya kuonyesha mchezo mzuri kwenye timu ya Ujerumani nchini Afrika Kusini. Lakini Ferguson na Mourihno ndiyo walionekana kumtolea macho kwa ukaribu zaidi. Real Madrid ambayo kwa sasa wapo chini ya kocha wao mkuu Jose Mourihno imetoa kiasi cha Euro milioni 16 zinazohitajika na Werder. Werder inataka kumtoa mchezaji huyo mapema iwezekanavyo ili kujikita katika mechi ya kufuzu ligi ya mabingwaUlaya dhidi ya Sampdoria ya Italia. |
![]() |
|
MOURINHO DEFEAT MAN U OVER TRANSFER MOVE. After a long transfer scandal for Mesut O’Zil, a midfield for both Germany and Werder Bremen lastly he is going to sign the contracts with Real Madrid club this Tuesday. Having meeting agreement between both parties, O’ Zil is going to leave Werder immediately before their UEFA Champion League match against Sampdoria from Italy. O’ Zil who was needed by some major club in Europe like Manchester United, Chelsea and Arsenal finally has ended under captivity of Jose Mourihno after relasing 16 millions European currencies as transfer fees. This means that Alex Ferguson, Manchester United Manager who closely had paid attention about the player should close his sight for midfield.
|
















