HOT & HAPPENING

chelsea_ubingwa_2010_barclays
Timu ya chelsea jana iliibuka kidedea kwa kuigalgaza Wigan mabao 8-0 huku ikiwa imejiwekea mazingira mazuri ya ubigwa dhidi ya wapinzani wao wa ukaribu katika mbio za kuutwaa uchampioni wa ligi ya Uingereza msimu huu Man U.Wafungaji kwa vijana wa Stanford Bridge walikuwa ni Nicolas Anelka goli,Ashley Cole, na Solomon Kalou wote alifunga goli moja kila mmoja,wakati Frank Lampard akipachika magoli 2,huku Didie Drogba akipiga goli tatu na kuwa mfungaji bora wa ligi kwa kufikisha magori 29,akifuatiwa na Wayne Rooney Man U magoli 26.
Mechi zingine zilizopigwa jana iliwakutanisha Man U dhidi ya Stoke city katika uwanja wa Old Trafford ambapo Man walishinda 4-0,Arsenal  waliichapa Fulham 4-0 kataka uwanja wao wa Emirates,huku Liverpoor ikilazimishwa sale tasa na vibonde Hull city.


You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!