05 May 2010
![]() |
| Mbio za kumpata mfungaji bora katika ligi ya Uingereza zimekuwa ngumu kwani vinara hawa wanne wanapigana vikumbo kutwaa kiatu hicho. Didier Drogba (Chelsea), na Wayne Rooney (Man Utd) wote wana magoli 26 kila mmoja, wakifuatiwa na Darren Bent (Sunderland) mwenye magoli 24, huku Carlos Teves(Manchester City) akichukua nafasi ya nne akiwa na magoli 22. |
![]() ![]() |

















