30 March 2010
![]() |
|
Timu zitakazocheza kwenye kombe la dunia 2010 Afrika Kusini zimeanza kuchagua hoteli zitakazofikia kimakazi nchini humo . Brazil watakaa kwenye hotel yenye 5 stars ya Fairway, Italy wamechagu Leriba Lodge iliyopo Pretoria. Timu zingine pia zimechagua hoteli mbalimbali zenye hadhi yao wakisubiri mashindano ya kombe la dunia mwaka huu. |















