29 March 2010
![]() |
|
Ma fans wa michezo na video games vimekuwa vikienda sawa tangu game hizo zilipoanzishwa. Video game ni njia kubwa ya ma fans kujenga mapenzi na michezo waipendayo. NBA na FIFA Ni wadau wakubwa katiaka kujenga daraja kati ya Video game na Michezo. |















