HOT & HAPPENING

 

naomi-campbell-gal-models1

Baada ya  misukosuko iliyompata mwanamitindo Naomi Campbell kuhusu kupokea dhahabu haramu toka kwa aliyekuwa Raisi wa Liberia,bwana Charles Taylor, kwa sasa amesema amesahau yote na kutambua kuwa hamna mtu yoyote aliyekamilika chini ya jua.

Akifafanua  kupitia gazeti la the Sun, Naomi amesema ameamua kuadili mfumo wa maisha yake ikiwa ni pamoja na kupata muda wa kutosha wa kulala,kula vizuri and kutumia muda wangu wa ziada kutunza bustani.

Naomi ambaye mpaka sasa hajabahatika kuwa na mtoto, amesema kuwa angependa apate mtoto pasipo hali ya kutarajia.
 naomi_campbell31

NAOMI CAMPBELL IN NEW LIFE STYLE.

Naomi Campbell has insisted that she has become a different person as a result of her new lifestyle.

The supermodel –who recently involved in an alleged blood diamond scandal-said that he has “made peace “with her self and realized that “no one is perfect”.

“Sleeping well, eating adequately or dedicating time in the mornings to spraying and relaxing before throwing myself frenetically into my work [changed me], “she told a Spanish magazine, according to the Sun.

Campbell recently admitted that she is not ready to have children and wants pregnancy to happen “naturally”.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!