HOT & HAPPENING

 

50_cent1

Hivi karibuni Rapa 50 cent amebainisha kuwa hataki tena bifu na wasaanii wenzake Jay-Z na P.Diddy.

Mwanamuziki huyo ambaye kwa sasa ameelekeza nguvu zake kwenye uigizaji filamu alisisitiza kuwa  alishafanya mazungumzo na wasanii hao kwa muda tofauti tofauti na kufikia maamuzi ya kuachana na bifu ambazo zilikuwa kama zinawadidimisha kimuziki. 50 Cent aliyasema hayo pindi alipokuwa akihojiwa na MTV.

‘Tayari nishaongea Puffy siku moja kabla ya kukutana na Jay, amenieleza kila kitu kwa jinsi anavyojisikia mwenye furaha. Ninajua ni namna gani mashabiki wanavyojisikia baada ya kupata taarifa hizi , lakini kwa sasa yote  yamepita.” Ilifafanua sehemu ya maelezo ya 50 Cent.

Mwanzoni mwa mwaka huu 50 Cent alikaririwa kuwa hata jibu bifu zozote zitakazoelekezwa dhidi yake.

50-cent-picture-51

NO MORE FEUDS TO 50 CENT.

50 Cent has revealed that he has ended his feuds with Jay-Z and P Diddy.

The rapper –turned –actor claimed that he spent some time with both hip-hop stars to discuss his past actions towards them.

“We got a chance to kick it for a minute. I know people were interested in what that conversation was like. But they can ask Jay-Z. I can’t understand what your motivation was prior to that, ”he told MTV.

He added” I had a conversation with Puffy the night before Jay. He gave me a whole new perspective on his actions. He’s like, I understand the way you felt because of what I was doing at the time. But I wasn’t thinking what you were thinking I was.”

Earlier this summer, 50 Cent vowed never to respond to a rap feud ever again.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!