HOT & HAPPENING

 

ciligaz1

Ukizungumzia makundi ya muziki yanayofanya kazi vizuri Afrika Mashariki basi huta acha kuwazungumzia Chilli Gals toka Uganda.Pamoja na kujawa na wasanii wenye vipaji adimu lakini kundi hili linaloundwa na wasanii kama P-Tyra, Kabs, Shyla, Zahara Omar na Toto kundi hili lipo kwenye hali mbaya ya kuvunjika.

Sababu kubwa inayoelezwa kuwa ni chanzo cha mpasuko ndani ya kundi hilo ni Uongozi mbaya unaoendeshwa na meneja wa kundi hilo Judithi ambaye amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara na wanamuziki hao kuwa hana utaratibu mzuri katika kuratibu  shughuli za kundi hilo.

Kutokana na hilo tayari baadhi ya wanamuziki kama Peace Tyra ameshawahi nukuliwa kuwa ana mpango wa kufanya kazi nje ya kundi hilo hali inayoonyesha dalili mbaya ya mawasiliano katika kundi hilo kwani ikumbukwe Tyra ndiyo mwanamuziki kiongozi ndani ya kundi.

Kundi hilo ambalo lilikuwa limeshajijengea jina ndani ya Uganda na Afrika Mashariki kama mbadala wa makundi Obsessions na Blue3 yaliyovunjika kwa sasa.

chilli-tboz-reunion1

CHILL GALS IN DILEMMA.

Recently it has been revealed that the female group artist from Uganda Chill Gal is on the way to fall apart after what it has been known to have internal administration conflicts. The group which is very popular not only in Uganda but also all across East Africa have continuously facing administrative block from their manager Judith who is claimed to rude her artist.

Source from inside the group says, the scene of the group is becoming worse as time goes in such as way that even group leader of the musician Peace Tyra has been heard said she is planning to withdraw from the Group and make her solo music.

The artist who makes the group includes P-Tyra, Kabs, Shyla, Zahara Omar and Toto. The question in many Ugandan music fans is that, could this me the road to the spilt of the group as it was for Obsession and Blue3?

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!