30 August 2010
 |
|
Kama wengi wa Waafrika wanavyoamini kwamba maisha mazuri yapo Ulaya na Amerika, Mwanamuziki Red Banton kutoka Uganda naye amenasa katika tego hilo baada ya hivi karibuni kuapa kuwa hatarajii kurudi Uganda tena. Hii imetokana na mwanamuziki huyo wa maadhi ya Regae kupata kibali cha kuishi nchini Marekani.
Habari toka kwa wadau waliopo Marekani zinasema kwamba mwanamuziki huyo amehangaikia sana visa hiyo mpaka kuipata na hakuweza kulala usiku kucha siku ya safari yake ya kwenda kwa Obama akihofia passport yake isije potea |
|

|
|
RED BANTON DENIED TO COME BACK TO UGANDA
We've learnt that the Good life is currently in the USA, where they went to perform. Luckily expired singer Red Banton, who's been grassing at their Makin dye bonking crib managed to escort them on the trip.
However our US Snoops have intimated that Banton thanks his spirits for allowing him to secure a visa to Obama's land and as thus, he has vowed not to come back to our dusty town, where he had grassed for an untold time.
We hear prior to the trip, Banton spent sleepless nights watching over his VISA like an Askari, claiming that it might disappear in the night.
|
| |
You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.