28 August 2010
 |
|
Hatimaye ule usemi wa mvumilivu hula mbivu umetimia kwa Susan Boyle mwimbaji wa Scottland.
Mwimbaji huyo akiwa na miaka 48, mwaka 2009 aliiteka dunia kwa kibao chake “I Dreamed a Dream” akiwa mbichi toka chungu cha kutafuta vipaji kiitwacho “Britain’s Got Talent’.
Sasa akiwa na miaka 49, amepata bahati nyingine adimu kama msanii. Nayo ni kuimba katika ziara za kiongozi wa kidini wa kanisa Roman huyu si mwingine bali ni Papa Benedict’s. Kwa mujibu wa gazeti la Reuters, Boyle aliombwa kutumbuiza katika mikutano ya kiogozi huyo tarehe 16 September, kwa zaidi ya mara tatu tofauti.
Katika interview kwenye kituo kimoja cha Tv, Boyle alisema kuwa amefarijika sana kupata nafasi ambayo katika ndoto zake za kimuziki hakuwahi hata siku moja kama ingeweza kutimia.
Inasemekana katika kongamano hilo Susan ataimba vibao vyake kama vile “I Dreamed a Dream”,”How Great Thou Art,” kama ishara ya kumtakia kheri Papa katika safari yake ya London.
|
 |
|
SUSAN BOYLE TO SING FOR THE POP Dreams do come true; you just have to wait. This is best proven by Scottish singing sensation Susan Boyle.
At age 48, Boyle captivated the world with her beautiful voice after singing “I Dreamed a Dream” of the musical Les Misérables for audition on talent search program Britain’s Got Talent. She eventually became a star and recorded and released one of the best-selling albums in 2009, I Dreamed a Dream.
Now 49, another dream of hers is about to be realized: to sing for the Pope, and not just once but three times. According to a Reuters report, Boyle was asked to sing during Pope Benedict’s mass in Glasgow, Scotland, on September 16.
In a TV interview, Boyle said she is considering singing for the Pope “a great honor and something I've always dreamed of – it's indescribable.”
It is said that the songs she will sing during the Papal mass will be her signature song “I Dreamed a Dream,” “How Great Thou Art,” and farewell song to the Pope as he leaves for London. |
| |
You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.