25 August 2010
![]() |
|
Pamoja na kwamba kucha zipo mbali na upeo wa macho ,lakini kumbuka kuwa hiki ni kiungo muhimu katika kuimarisha urembo wa mtu. Maslani hebu fikiria endapo kucha zako zinapokuwa chafu ilhari upo mbele ya kadamnasi, utajisikiaje? Ili kuepukana na adha kama hizo hebu tuangalie njia zifautazo za namna gani ya kuzifanya kucha zako kuwa maridhawa na zenye mvuto.
Hii husaidia kuuwa maadhi ya vimelea vya wadudu wanaoweza kushambulia kucha zao. Pia hufanya kucha zako kuwa raini. |
![]() |
|
2. Ondoa ukakasi/mabaka kwenye kucha zako. Wataalamu wengi wa mambo ya kitabibu wanapendekeza kutumia njia hii kwani hutumia mafuta maalumu ya kulainisha eneo lililo athirika kabla ya kutumia vifaa safi na salama katika kuzitengeneza kucha zako. 3. Tumia sukari ku-scrub. Faida ya njia hii ni kwamba kwanza si gharama kubwa kuitumia, kwani sukari inapatikana kwa wingi karibu sehemu mbali mbali za Tanzania. Unapotumia njia hii hakikisha unasugua miguu yote hadi karibu na magotini ukitumia maji ya uvugu vugu yaliyochanganyika na sukari |
|
|
|
4. Kufanya massage za miguu. Nadhani hili halitakuwa geni sana masikioni kwa akina dada wengi maana massage za miguu kwa kutumia mafuta maalumu yaliyochanganyika na dawa hupenya zaidi hadi kwenye ngozi ya miguu hivyo kujikinga na maradhi ya kucha. 5. Tumia mafuta ya paraffin. Baada ya kuzikata kucha zako vizuri kadri ya upendavyo ni vizuri zaidi kama utazifunga kwa kwa kutumia kitambaa safi kilichofukizwa unyevu wa mafuta ya paraffin maana huimarisha usafi wa kucha pia. Hili ni pambo la mwisho kabisa ingawa akina dada wengi huliweka la kwanza. Kupaka rangi kucha zako ni jambo la ziada katika kuimarisha muonekano wa kucha zako. Tahadhari kuwa mwangalifu katika mapishi, na ufuaji wa nguo maana ukipaka kucha rangi mara nyingi huwa ni taabu kufanya kazi hizi. |
![]() |
|
THE 6-STEP OF PROFESSIONAL PEDICURE Feet, being so far underneath our eyes, often get overlooked when it comes to a regular beauty routine. The result? Most of us walk around with cracked heels, callused toes and dirty soles that never seem to scrub clean — not exactly the look you want to show off in your new beach sandals. The 6-step Professional Pedicure 1. A salt bath to soften feet. 2. Callus removal, which therapists usually carry out by first brushing a special softening solution onto the affected area and then using a brand-new or properly sanitized tool. 3. A sugar scrub to exfoliate the whole foot. 4. A foot massage, using a natural oil such as grapeseed, which deeply penetrates your skin, returning feet to supple form. 5. A hot paraffin wrap, which seals in moisture. 6. And finally, the fun part: the classic pedicure, during which your toenails are cut and filed, cuticles are softened and nails are painted. |


















