HOT & HAPPENING

psquare1

Vijana wawili Peter na Paul wanaounda kundi la P-Square wameteuliwa kuwa mabalozi wa taasisi ya Globacom katika sherehe maalum ya iliyofanyika katika mnara wa Mike Adenuga. Vijana hao ambao wamepata umaarufu mkubwa karibu  Dunia nzima wamemshukuru mkuu wa taasisi hiyo Mr. Mohamed Jameel  kwa kutambua mchango wao katika tasnia hiyo.

Mastaa wengine kutoka Nigeria waliosaini na taasisi hiyo ni kama Ramsey Nouah, Monalisa Chinda,Jim Lyke,Desmond Elliot.
p-square-111

P-SQUARE IS FLYING HIGHER.

Two blooded brothers Peter and Paul who form P-Square musical group have been elected to hold the ambassador title at Globacom institution on the special event that took place in Lagos, Nigeria. Speaking at the celebration, P-Square thanked the director of Globacom Mr. Mohamed Jameel for awarding them opportunity to expand their music career’s in serving community.

Other celebrities who sighed the contract include Ramsey Nouah, Monalisa Chinda, Jim Lyke,Desmond Elliot just to mention a few.

 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!