20 August 2010
|
Katika kura zilizopigwa kwenye mtandao wa AskMen.com mwezi wa nane 2010, nyota wa filamu ya Monster Ball, Halle Berry ametajwa kuwa mwana mama mwenye mvuto zaidi huko Hollywood. Berry ambaye ana mtoto wa mwenye umri wa miaka miwili aitwaye Nahla amekuwa akitoa matunzo mazuri kwa mwanae toka ajifungue.
|
![]() |
|
Mastaa wengine walioibuka vinara ndani ya tano bora ni Monica Belluci, mwenye watoto wawili mpaka sasa alikuwa wa pili, wakati namba tatu imebebwa na Kate Beckinsale mwenye motto wa miaka kumi na moja. |
|
|
| Jessica Alba, mama mwenye haiba ,ameshika namba nne yeye ana watoto wawili wakati mama mwenye asili ya India Salma Hayek amekamata namba tano yeye pia ana mtoto mmoja mwenye miaka miwili |
|
|
|
HALLE BERRY IS SEXIEST HOLLYWOOD MOM Halle Berry is the sexiest mom in Hollywood, according to a new poll.The Monster's Ball star, who has a two-year-old daughter, Nahla, with former partner Gabriel Aubry, was named the sexiest mother in the spotlight by voters at AskMen.com, reports the Daily Star. |
|
|
| Monica Bellucci, who gave birth to her second child in May (10), landed the second spot, while Kate Beckinsale, mum to 11-year-old Lily, came third. Jessica Alba, the mother of Honor, who gave two childen with husband Cash Warren was named fourth sexiest. Salma Hayek rounded out the top five for her mum credentials to two-year-old Valentina. |
|
|



















