16 July 2010
![]() |
|
Rapa maarufu na mmiliki wa lebo ya Roca Fella, Shawn Carter ‘Jay Z’,amekana kuwa mwanachama wa makundi ya imani za giza ya Illuminati na Free Mason yanayohusishwa na kuendesha imani za kishetani. Licha ya kukana, Jay Z amefanya kolabo na Rick Ross katika ngoma waliyoipa jina la ‘Free Mason” inayopatikana katika albamu mpya ya Rick Ross, Teflon Don. Mashairi yanayopatikana katika wimbo huo yana maelezo mengi kuhusu Illuminati,Free Mason na Lucifer,hali inayotafsiriwa kuwa Jay Z ana ufahamu mkubwa katika nguvu za giza, na huenda ni mwanachama ingawa mwenyewe hataki kukiri. Jay Z amekuwa akihusishwa kuwa mwanachama wa makundi hayo kutokana na mazoea yake ya kutumia alama zinazotumiwa na Illuminati na Free Mason,kama kunyoosha vidole viwili hewani, na nembo za Illuminati na Free Mason katika maonesho yake mengi ya muziki na kwenye albamu zake. |
![]() |
|
IS IT TRUE THAT JAY Z IS A MEMBER OF DEVIL WORSHIPERS? The famous rapper and president of Rocca Fella Record Shawn Carter ‘Jay Z’ recently has been connected with scandal of being a member of devil worshipers like Illuminati and Free Mason. Even though Jay Z has thrown far away this rumor, he has collaborated with Rick Ross in single known as “Free Mason” for Rick Ross’s new album Teflon Don. The lyrics available in that song explain in detail about Illuminati, Free mason and Lucifer that is why many people connect Jay Z with being a member of these faiths. Moreover Jay Z has got habit of expressing signs and symbols relating to those of devil worshipers’ such as stretching two fingers when he perform shows. |
















