HOT & HAPPENING

  
14064_resized_waka_waka

Mwanadada mwenye sauti ya kipekee kutoka Columbia Shakira  ametangazwa rasmi wiki hii kuwa ataperform kwenye ufunguzi wa Kombe la Dunia litakalofanyika huko South Africa. Shakira amemaliza na kuwakilisha ngoma ambayo ni ngoma rasmi ya ufunguzi huo iitwayo WAKAWAKA (This Time For Africa). Watu Kutoka nchi mbali mbali barani Africa wamepinga uamauzi huo na kusema ufunguzi huo ungetanguliwa na performance kutoka kwa mwanamuziki kutoka afrika. Kwani hili ni kombe la Afrika.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!