HOT & HAPPENING

  
stopthepresses-993948839-1271365841
Rapper 50 Cent ambaye sasa ni muigizaji ametangaza rasmi nia
yake ya kufuta baadhi ya tattoo zake za mkononi. Tattoo hizo
ambazo zimekuwa zikiuza kwenye picha za cover za album zake
sasa zimeonekana kuanza kumkosesha mkwanja rapper huyo.
Amesema ameshindwa kucheza muvi kibao kutokana na tattoo
hizo kuonekana na amekuwa akitumia muda mwingi kuzificha kwa
kupaka make up. 50 amesema ni bora azifute tattoo hizo ingawa ni
gharama kubwa kufanya hivyo.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!