31 March 2010
![]() |
|
Roc Nation Under Jigga Man ime m sign mwadada mwengine mpya kwenye Lebo hiyo ambayo ina masupastaa wanofanya vizuri kwenye game kama Rihanna, Beyonce, Alicia Keys na sasa ni Mwanadafada Alexis Jordan mwenye umri wa miaka 17. Alexis alishiriki kwenye mashindano yakusaka vipaji yanayoitwa America’s Got Talent. Mwanadada huyo mkazi wa Carolina aliwavutia majaji alipoimba ngoma ya Whitney Houston ‘I have nothing’ Ingawa hakushinda. |















