HOT & HAPPENING

 

Wanafunzi wa shule ya DIS wamechangia Shilingi milioni 1.5 katika kampeni zinazoendeshwa na mbunifu maarufu nchini Ally Rhemtulla pamoja na kampuni ya simu ya zain itwayo Fashion for Education,..

Kampeni hizi ni maalum kwa kuchangia mfuko wa elimu wa shule za sekondari za Kisarawe. Msaidizi mkuu wa shule hiyo Ms. Angelika Hub-bwana alisema wanayo furaha kubwa kuweza kuzisadia shule zingine ziweze kujitosheleza na vifaa vya kusomea. Pia muandaaji wa kampeni hiyo Ally Rhemtulla aliushukuru sana uongozi wa shule hiyo pamoja na wanafunzi wake.

 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!