24 August 2010
|
|
|
Pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na mamlaka mbali mbali kudhibiti matumizi makubwa ya tumbaku, lakini bado jitihada hizo hazijaleta mafaninio stahiki katika suala hilo. Watumiaji wa sigara wamekuwa wakiongezeka kila kukicha karibu Duniani kote. Sababu kubwa wavutaji wanayojitetea nayo juu ya kupenda kiurudisho hicho ni kwa kile wakielezacho kwamba sigara inapunguza sana msongo wa mawazo’stress’! Lakini cha kushangaza ni kwamba utafiti uliofanywa na chuo cha London School of Medicine and Dentistry nchini Uingereza unaonyesha kuwa matumizi ya sigara yametoa mchango mkubwa katika kuchangia mfadhaiko wa akili ya mtumiaji. |
![]() |
|
WHY SMOKING IS HARMFUL? Despite of being prohibited by many authorities, consumption of cigarette product is increasing remarkably around the globe. Apart from cigarette manufacturers providing little information about the danger of too much smoking in their brand, but smokers have deafen their ears not to accept the truth. Their claim is, and always will be ‘smoking reduces stresses but have they real thought about the side effect of it? But studies have found, however, that in reality, lighting up has the opposite effect, causing long-term stress level to rise. My motto to those who are dependent on smoking is, the only stress it relieves is to with draw from cigarettes, as the study conducted at London School of Medicine and Dentistry suggests. |
















