20 August 2010
|
|
|
Matokeo ya utafiti wa kisayansi yanaonyesha kwamba ulaji wa nyama nyekundu huongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo kwa zaidi ya 8%. Vyakula kama hamburger, mahindi ya kwenye kopo, na vyakula vitokanavyo na maziwa vina mchango mkubwa wa kusababisha madhara ya moyo kwa mwanamke endapo atavitumia kupita kiasi. Ufanye nini kuepukana na hili? Matumzi mbadala ya vyakula vinginevyo aina ya protini kama karanga, samaki na nyama nyeupe ya kuku vimeonekana kuwa ni msaada mkubwa wa kujikinga na matatizo ya moyo |
![]() |
|
WHY TOO MUCH RED MEAT IS DANGEROUS? Scientific study shows that some types of red meat appear to be worse for your health. Eating one serving of beef per day only increases a woman’s heart-disease risk by about 8%, compared to eating it never or rarely. But eating one hamburger, one serving of bacon, or one hot dog per day ups a woman’s risk by 42%, 41%, and 35%, respectively, compared to eating those foods once or twice a month(if ever), according to the study. Then how to replace red meat in your diet? Replacing red meat with healthier sources of protein will go away of reducing heart risk, the researchers say. For instance daily serving of red meat with one several other foods – including nuts(30%), fish(24%), chicken or other poultry(19%) and low fat dairy (13%) will also reduce heart-disease risk, the study found. |
















