01 July 2010
![]() |
| Wakati ifikapo 2050,idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia bilioni 9,huku kukizidisha mahitaji zaidi ya chakula na ardhi,watafiti wamegundua njia mbadala ya kuongeza uzalishaji wa mazao kwa kuanzisha kilimo ghorofa. Hadi sasa pamoja na ukuaji wa technologia ya kilimo katika uzalishaji wa mbegu bora,madawa ya mimea na pembejeo nyinginezo lakini bado wanatafakari jinsi ya kuhifadhi ardhi kwa ajili ya kilimo.Inaelezwa kwamba pamoja na kuweza kuzalisha idadi kubwa ya mazao kwa eka,lakini bila uwepo wa ardhi kwa ajiri ya mashamba ni kazi bure. Kwa nini sasa tusianze kujenga majengo yatakayokuwa na mashamba ndani yake?Tumeona bustani kadhaa katika baadhi ya majengo na hoteli mbali mbali za maghorofa,tukiamua tunaweza kilimo kwanza ndani ya mjengo. |
![]() |
| VERTICAL FARM:HIGH HOP FOR FEEDING THE FUTURE. Humans,have a knack for reproduction.By 2050,the world population is expected to reach 9 billion people,nearly doubling global demands on food and livestock feeds.But there is one major problem:Farms cant keep up. Until now,humanity's rapid population growth has been countered by the "green revolution"-advances in pesticides,fertilizers,and the genetic modification of crops.But no matter how much we crops yield per acre,the limiting factor for food producton is land.And farms use it a lot. But if we can't build it out,why not build up,vertical farms like the one seen in pictures here?Are a proposal building innovation that might allow us to do just that.While they are still in the planning stages,these "sky farms"could revolutionarize our agricultural system. |
![]() |

















