11 May 2010
|
|
|
Pentax wametoa toleo jipya la kamera ambayo ni tofauti na lile la mwanzo,Toleo hili la sasa ni tofauti kabisa na lile la mwanzo, Pentax wametumia mpira(rubber) badala ya metal kama ilivyokuwa mwanzo. Mabadiliko mengine ni kuwa na sensa kubwa( High definition sensor of about 12.1 Megapixel) na 5X optical zoom, Ina inch 2.7 LCD monitor yenye rangi(Large 2.7-inch colour LCD monitor) Pentax wametoa toleo hili na kutangaza bei yake kuwa itakuwa £119.99 (approx. $182 USD) |















