HOT & HAPPENING

alt

  Carl Taussig mkuu wa idara ya kompyuta katika kampuni ya HP(Hewlett-Packard(HP) amesema kwamba ipo mbioni kubadilisha glass display na kuweka plastic display katika bidhaa zake. Akisisitiza kwamba bidhaa za plastic ni nafuu sana ukilinganisha na malighafi za glasi (glass display) .  Katika uchunguzi huo amesema plastiki itakayotumia itakuwa ni nyembamba sana ( 50 micron thick), ambayo ni  nyembamba kuzidi kipande cha karatasi. Mabadiliko haya yatakuwa baada ya miaka 10.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!