07 May 2010
![]() |
|
Katika uchunguzi uliofanywa na wanasayansi umesema kwamba kulala kwa muda mfupi(yaani chini ya masaa sita) kunasababisha vifo vingi vya watu kabla hawajafikia umri wa kufa( pre mature death). Na vile vile kwa watu ambao wanalala kwa muda mrefu yaani kuzidi masaa nane nao pia wanaweza kupata ugonjwa wa muda mrefu(serious and potentially fatal illnesses.). Uchunguzi huu umefanya kwa muda wa miaka 25 ikihusisha nchi kama Marekani,Uingereza, na Mashariki mwa bara la Asia. Matokeo ni kwamba watu 100,000 walikufa kutokana na kutopata usingizi kati ya watu Milioni moja nukta tatu( Milioni 1.3). Uchunguzi huu umefanywa chini ya usimamizi wa Professor Francesco Cappuccio kutoka chuo cha Warwick |















