HOT & HAPPENING

alt

Mfumo mpya umegunduliwa wa kuzuia kiasi cha sukari kupungua au kupanda kwa wagonjwa wa kisukari, mfumo huo ambao una kazi ya kusimamia homoni za aina mbili yaani insulin na glucagon. Wanasayansi wametengeneza bandama la bandia(artificial pancrese) ambalo litaweza kusimamia kiasi cha sukari kisipande au kushuka na kukiweka katika hali ya kawaida(normal). Mfumo huu unafanana na mfumo wa hapo awali ambao ulikuwa unafanyakazi ya kusimamia homoni ya Insulin peke yake, wakati mfumo huu unasimamia homoni zote mbili yaani Glucagon na insulin.Kazi kubwa ya Glucagon ni kuzuia kiwango cha sukari kisishuke kiasi cha kutisha.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!