HOT & HAPPENING

 

01-Aug_MidSnack_BIG1

Washiriki wawili katika shindano la BBA All Stars Mwisho Mwampamba toka Tanzania na Munya toka Zimbabwe huenda mmoja kati yao akaibuka mshindi msimu huu baada ya washiriki hao kuonekana kuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa shindano hilo.

Mwisho amekuwa kivutio kwenye jumba hilo kwa tabia yake ya ulevi na kupenda sigara wakati Munya yeye ni mtu wa utani na vichekesho vingi vinavyowasisimua watu.

Pamoja na kuwa na mvuto kwa mashabiki washiriki hao wanazidi kunogesha uhondo kwa watazamaji baada ya kila mmoja kumtambia mwenzake kuwa yeye ni zaidi.

Katika hali ya utani Munya na Mwisho walionekana wakitunishiana misuli kila mmoja akimweleza mwenzake kuwa pesa za msimu huu anaondoka nazo.

Rekodi zinaonyesha Munya ameisha pendekezwa na kupigiwa kura zaidi ya mara sita mfululizo na ameokolewa mara zote wakati Mwisho hajawahi hata mara moja kupigiwa kura za kutoka.

Mshindi wa safari hii atanyakua dola laki mbili za kimarekani.

 normal_P_Aug29_1840001

AGGREGATE ON MWISHO AND MUNYA TO WIN BBA TITLE.

Mwisho Mwampamba from Tanzania and Munya from Zimbabwe have got good scene to be winner for BBA All Stars this season. The two contestants since day one have been doing perfect upon viewers’ sight through their distinguished characteristics each one that has been blessed with.

Mwisho who always seem to be drunk and interested in smocking has never been appointed for eviction poll while Munya who is usually expressing comedy and charming have managed consecutively to survive six eviction nominees.

In addition to that each of these house mates have vowed to pick up the money for BBA awards as he will be the winner of this season. Fans across all Africa are curious waiting to see who will remain till the final in BBA house.
 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!