HOT & HAPPENING

 

hashim_Lundenga

Wanyange wanaowania taji la Miss Vodacom Tanzania 2010, jana walinusurika katika ajari ya maji baada ya boti yao kukumbwa na dhoruba kali ya upepo.

Habari zinasema kuwa warembo hao ambao wapo katika kisiwa cha Mbudya  wakipiga picha za filamu, walikutwa na mkasa huo karibu na klabu ya Yatch iliyopo pembezoni mwa bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Akithibitisha kutokea kwa mkasa huo jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency alisema kuwa ni kweli tukio hilo limewakuta lakini warembo wote wapo salama na wanaendelea na zoezi hilo kama kawaida.

miss_Voda_Tz_2010

MISS VODACOM SURVIVE  BOAT CLASH

Miss Vodacom Tanzania for 2010, yesterday were nearly to get lost in Indian Ocean after their marine vessel failed to overcome massive wind blow.

News says that  contestants who were  taking  video shooting near Yatch beach along Dar Es Salaam coast managed to survive from the disaster after  applying some marine rescue utilities to withdraw from further damage.

In supporting the occurrence of the incidence, Director for Lino Agency  Hashim Lundenga said that none of the contestant got serious injury, and at least  all of them are proceeding with the video shooting process at Mbudya isles.

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!