02 September 2010
![]() |
|
Jeshi la wananchi Tanzania jana limetimisha sherehe za maadhimisho ya miaka 46 tangu jeshi hilo lilipoanzishwa nchini. Sherehe hizo ambazo hufanyika kila baada ya mwaka mmoja safari hii zilifanyika katika kambi ya Navy Kigamboni jijini Dar Es Salaam huku waziri wa Ulinzi na kujenga Taifa Dkt Hussen Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika sherehe hizo. Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa majeshi nchini jenerali Mwamunyange alisema kuwa maadhimisho hayo ambayo uhusisha vikosi vya majeshi kutoka sehemu zote nchini yamekuwa na dhima ya kuonyesha utendaji kazi wa jeshi hilo katika kulinda mipaka ya nchi. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yalianza tarehe 26 August na kuhitimishwa September mosi 2010. |
![]() |
|
TPDF ANNIVERSAL SHINES Tanzania People’s Defense Forces (TPDF) has closed the cerebration curtain in the anniversary of 46 years since it was established. This year ceremony was conducted at Navy squad in Kigamboni Suburb where various amid across the country participated in the occasion. Speaking to media people, The Major General of TPDF, Mr. Mwamunyange said that the aim of this cerebration is to inform civil society how well their military defense acting upon safeguarding national territory against external invasion. The event was chaired by Minister of Defense honorable Hussein Mwinyi and took place from 26th august up to 1st September, 2010. |
















