HOT & HAPPENING

Kenya_constitution2

Ijumaa iliyopita jijini Nairobi Kenya, Raisi wa nchi hiyo Mwai Kibaki alizindua  katiba mpya ya serikali ya Kenya .

Sherehe hiyo ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa watu, ilingiwa na kasoro pale ilipobainika kuwa kiongozi na raisi wa Sudan bwana Omar al-Bashiri  alikuwa ni mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe hiyo.

 Rais Bashir anatuhumiwa na mahakama ya Kimataifa (ICC) kwa kukiuka haki za binaadamu katika serikali yake hasa upande wa Sudan ya Kusini wakati ikisemekana zaidi ya watu 300,000 wamepoteza maisha yao huko Darfur.

Kenya inalaumiwa kwa kitendo chake cha  kumualika kiongozi huyo , huku ikijua fika kwamba kama mwanachama wa mahakama hiyo ilitakiwa kumkamata kiongozi huyo ili akajibu mashitaka yanayomkabiri lakini ikashindwa kutekeleza wajibu huo. Bashir amekuwa akisakwa na mahakama hiyo toka mwaka 2009.

Hata hivyo waziri wa mambo ya nje wa Kenya ametetea mwaliko wa Bashir kuwa haukuwa na madhara yoyote ambayo yangehatarisha usalama .

kenya_constitution

SHOULD KENYA BE BANNED BY ICC ?

Cheered by hundreds of thousands of jubilant Kenyans, Last Friday in Nairobi – Kenya , Kenya’s  president Mwai Kibaki  signed a new constitution  that curbs his sweeping powers and strengthens civic right.  But the event was stained upon International eye’s when Sudanese president took part in the ceremony.

Sudanese president faces charges of genocide and crimes against humanity in connection with violence in Darfur, where UN officials estimate 300,000 people have died.

It is only the second time that Omar al-Bashir has risked arrest by traveling to a member state of the International Criminal Court since he was first charged in 2009. The ICC has no police force and depends on member states to enforce its orders.

Human rights groups had urged the Kenyan government to bar al-Bashir from the festivities but Kenya's foreign minister defended al-Bashir's presence.

 

You have no rights to add a new comment. May be you need to register on the site.

Latest Comments

People You may know!

Please login to be able to see the Content!